
Bila shaka zoezi hili
wengi wa watu wamekuwa wakiwa na shauku nalo kulijua ili kuweza kufanya kazi
zao kwa ufanisi. Katika hali ya kawaida file zote za music or video au picha au
nyeninezo huwa na extension (aina) mbali mbali ambazo kila moja inafaida zake
na hasara zake. ...